Saturday 9 April 2016

CHELSEA YAPIGIKA KWA SWANSEA CITY GOLI 1-0

SWANSEA CITY YAIDUWAZA CHELSEA WAKATI GUUS HIDDINK AKIONJA KIPIGO CHA KWANZA

Timu ya Swansea City imepata ushindi wake wa kwanza dhidi ya Chelsea katika Ligi Kuu ya Uingereza baada ya kuifunga Chelsea bao 1-0, ikiwa ni kipigo cha kwanza kwa kocha Guus Hiddink.

Swansea ilitawala kipindi cha kwanza na kupata bao hilo pekee kupitia kwa mpira uliopigwa na Gylfi Sigurdsson, hata hivyo katika kipindi cha pili Chelsea waliokuwa ugenini walimiliki mpira vyema lakini walidhibitiwa vyema na wenyeji wao.
                Gylfi Sigurdsson akiachia shuti lililojaa wavuni na kuandika bao pekee
                              Pedro akidhibitiwa na wachezaji wa Swansea asilete madhara

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA