Wednesday 20 April 2016

FIDEL CASTRO AHUTUBIA CHAMA CHAKE NA KUASHIRIA MUDA WAKE WA KUISHI UNAISHA


Kongozi wa mapinduzi ya Cuba Fidel Castro, 89, ametoa hutuba iliyoibua hisia kali katika mkutano wa chama cha Kikomonisti iliyoashiria kuwa muda wake wa kuishi duniani unaisha.

Katika mkutano huo Castro amesema hivi karibuni atafikisha miaka 90, na kama ilivyo kwa binadamu wengine maisha yake yatafikia ukomo.

Amesema kuwa kisiwa hicho kitaendelea kutawaliwa na wananchi wa Cuba wenyewe hata kama viongozi wake wa mapinduzi wamezeeka na kufariki dunia.
                           Fidel Castro akihutubia mkutano wa chama cha Kikomonisti 
Rais Raul Castro (mwenye suti) ambaye ni mdogo wa Fidel Castro akipiga makofi baada ya Fidel kumaliza hotuba yake

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA