Monday 11 April 2016

ORIGI AZIDI KUWASHA MOTO LIVERPOOL IKIIADHIBU STOKE CITY 4-1

Mshambuliaji Divock Origi akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Liverpool bao la tatu katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Stoke City kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa Anfield.   

Origi ambaye aliingia katika kipindi cha pili kuchukua nafasi ya kinda Shey Ojo aliyefanya kazi nzuri katika kipindi cha kwanza  alifunga mabao mawili  wakati mengine yamefungwa na Alberto Moreno na Daniel Sturridge na la Stoke limefungwa na Bojan Krkic.
The Spanish left-back celebrates scoring his first goal of the season and his first strike at Anfield since December 2014
Beki wa kushoto wa lliverpool Alberto Moreno akishangilia mara abaada ya kuifungia timu yake goli la kwanza katika dakika ya saba ya mchezo



Former Liverpool striker peter Crouch joins Shaqiri and Ibrahim Afellay in congratulation Bojan on levelling matters at Anfield
Wachezaji wa Stoke City wakimpongeza Bojan (aliyekumbatiwa na Crouch) baada ya kupachika bao la kusawazisha katika kipindi cha kwanza

Daniel Sturridge gestures to the heavens after giving Liverpool the lead in the second-half of their Premier League clash with Stoke
Daniel Sturridge akishangilia baada ya kupachika bao la pili na kuifanya Liverpool kwenda mapumziko ikwa mbele kwa jumla ya mabao mawili kwa moja

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA