IBRAHIMOVIC CHACHU YA UBINGWA PSG
Mshambuliaji Zlatan Ibrahimovic akiinua taji la Ligue 1 na wachezaji wenzake wa Paris Saint-Germain Uwanja wa Parc des Princes baada ya kuisaidia timu yake hiyo kutwaa tena ubingwa wa Ufaransa, kufuatia ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Nantes, yeye akifunga mabao mawili. Mabao mengine ya PSG yamefungwa na Lucas Moura na Marquinhos.


0 comments:
Post a Comment