Sunday 15 May 2016

BAYERN WAMUAGA PEP GUARDIOLA KWA MVUA YA POMBE

David Alaba throws the contents of a Weißbier (three litre beer glass) over outgoing Bayern Munich manager Pep Guardiola

Baada ya misimu mitatu, Pep Guardiola ameiaga Bayern Munich kwa shangwe za aina yake baada ya mchezo wa mwisho wa Bundesliga ulioisha kwa ushindi wa 3-0 dhidi ya Hannover. 
Pep Guardiola gets his hands on the trophy before he leaves the German giants after three-and-half years in charge

 Guardiola anaondoka Bayern huku akiwa na mataji matatu ya Bundesliga aliyoyavuna katika kila msimu lakini hakubahatika kuipa ubingwa wa Champions League klabu hiyo ya Ujerumani. Mara baada ya mchezo huo uliofanyika Allianz Arena na kukabadhiwa rasmi taji lao, wachezaji wa Bayern Munich wakashangilia kwa staili ya kumtotesha kocha wao mwili mzima kwa bia.

Guardiola, who will take charge of Manchester City in the summer, won three Bundesliga titles but failed to win the Champions League

 Guardiola ambaye kabla hajajiunga na Bayern, alikuwa kocha wa Barcelona, msimu ujao atakuwa bosi wa Manchester City. David Alaba akimmininia bia kocha wa Bayern Munich  Pep Guardiola baada ya mchezo wa mwisho dhidi ya Hannover Douglas Costa akiungana na wachezaji wenzake wa Bayern kumwaga kocha Guardiola kwa staili ya aina yake Guardiola, ambaye msimu ujao atakuwa kocha wa Manchester City ameshinda mataji matatu ya Bundesliga lakini ameshindwa kutwaa ubingwa wa Champions League akiwa na Bayern Munich.

Douglas Costa joined his Bayern team-mate as the pair interrupted photographs of Guardiola and his coaching staff to drench them with beer

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA