Monday 4 July 2016

HIVI NDIVYO GUARDIOLA ALIVYO KARIBISHWA NA KUTAMBULISHWA MANCHESTER CITY

Guardiola poses with the Manchester City 2016-17 home kit behind him at the club's academy base
Kocha Pep Guardiola ametambulishwa katika klabu yake mpya, Manchester City ya England leo baada ya kuhamia kutoka Bayern Munich ya Ujerumani, aliyojiunga nayo mwaka 2013 kutoka Barcelona ya Hispania.

Guardiola takes to the stage with Kelechi Iheanacho and members of City's Women's and Youth teams
Guardiola pamoja na baadhi ya wachezaji wakiwa mbele ya umati wa Mashabiki na wapenzi wa klabu hiyo 

Tosin Adarabioyo, Bersant Celina, Kelchi Iheanacho and Brandon Barker all model the new home strip
Baadhi ya wachezaji wa Manchester City wakiwa katika pozi ndani ya vyumba vya kubadili nguo ,ili kutambulisha uzi watakaotumia katika msimu ujao wa 2016/2017
Picha na DAILY MAIL

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA