Monday 18 July 2016

WAZIRI MWIGULU ALIVYOKABIDHI TUZO KWA WACHEZAJI LIGI KUU YA VODACOM


Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba (kulia), akimkabidhi Tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Juma Abdul katika Hoteli ya Double Tree By Hilton Dar es Salaam juzi usiku. (PICHA NA DOTTO MWAIBALE)
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi akimkabidhi mfano wa hundi, Thabani Kamusoko. Kushoto ni mke wa mchezaji huyo, Bongile Sibanda na mtoto wao, Shanna Lee.
Washindi wa tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kukabidhiwa tuzo zao katika Hoteli ya , Double Tree By Hilton Dar es Salaam juzi usiku. Kutoka kulia Tshabalala, Kamusoko, Tambwe, Juma Abdul, Aishi Manula na Ibrahim Hajib.

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi, akitoa hutuba fupi kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi wa hafla hiyo, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba kutoa tuzo hizo.

Mchezaji Bora wa Ligi Kuu, Juma Abdul akionesha tuzo yake.

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA