LIVERPOOL ,SPURS HAKUNA MBABE
Milner akijipinda na kuachia shuti la mkwaju wa penati na kuifungia Liverpool goli |
Katika mchezo mwingine Liverpool imejikuta ikilazimwishwa sare ya goli moja kwa moja na Tottenham Hotspur, katika dimba la White Hart Lane.
Liverpool ilipata goli lake la kwanza kwa mkwaju wa penati uliopigwa na Milner baada ya Erik Lamela kumfanyia madhambi Roberto Firmino.
Beki Dany Rose akiachia mkwaju uliojaa kimyani na kuisawazishia wenyeji Spurs |
Tottenham walipambana kiume wasiaibishwe nyumbani na alikuwa Danny Rose aliyesawazisha goli katika kipindi cha pili
0 comments:
Post a Comment