RAIS DKT MAGUFULI AONESHA FURAHA YAKE KUKUTANA NA MH. LOWASSA
Rais Magufuli amesema anashukuru hafla ya Jubilei ya Miaka 50 ya ndoa ya Rais mstaafu Benjamin Mkapa kuleta muujiza wa kukutana na kupeana mkono na Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa
Kauli hiyo aliitoa jana katika hotuba yake Baada ya kumalizika kwa misa takatifu ya maadhimisho ya Juibilei hiyo iliyofanyika katika kanisa la mtakatifu Petro Oysterbay, Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment