Sunday 28 August 2016

SUPER SUB:: RASHFORD AIPATIA MAN UNITED POINT TATU DAKIKA ZA LALA SALAMA


Dogo Marcus Rashford akitokea benchi amefunga goli la dakika za majeruhi na kuisaidia Mnchester United kupata ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Hull City katika dimba la KCOM.

Mchezaji huyo mwenye miaka 18, akishuka mara ya kwanza dimbani katika msimu huu, aliunganisha wavuni krosi iliyopigwa na Wayne Rooney na kuibua shamrashamra.

Katika mchezo huo Manchester United, ilikuwa inashahili ushindi ambapo wachezaji wake Rooney, Zlatan Ibrahimovic na Paul Pogba walikosa kosa magoli.
        Dogo Marcus Rashford akipachika wavuni mpir wa krosi ya Wayne Rooney
         Shuti la Wayne Rooney likiokolewa katika mstari na mchezaji wa Hull City

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA