Thursday, 27 October 2016

MATA AIPELEKA MANCHESTER UNITED ROBO FAINALI KOMBE LA EFL


Juan Mata amefunga goli na kuipatia ushindi Manchester United dhidi ya majirani zao Manchester United katika mchezo wa kombe la EFL na kutinga hatua ya robo fainali.

Mhispania huyo aliachia shuti la chini lililojaa wavuni akiunganisha mpira uliogongwa nyuma na Zlatan Ibrahimovic na kujihakikishia kukutana na West Ham robo fainali.

Paul Pogba aligonga mwamba muda mchache kabla ya kufungwa goli hilo, ambapo mpira katika mchezo huo ulichangamka katika kipindi cha pili.
                                    Juan Mata akiachia shuti lililomshinda kipa na kujaa wavuni 
                Kipa na wachezaji wa Manchester City wakiwa hoi baada ya kutinga goli hilo

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA