Sunday 2 October 2016

SARE ZA MFULULIZO ZAIANDAMA REAL MADRID


 
Timu ya Real Madrid imeendeleza kukosa ushindi kwa mchezo wa nne baada ya Eibar kuibana na kutoka sare ya goli 1-1 wakiwa nyumbani.

Wageni walikuwa wa kwanza kuiduwaza Real Madrid, baada ya Fran Rico kutumia makosa ya ukabaji na kupiga mpira wa kichwa uliompita Keylor Navas.

Gareth Bale aliisawazishia Real Madrid katika dakika ya 50, akifunga goli lake la 50 katika ligi ya La Liga akiruka juu na kuupiga kichwa mpira uliopigwa na Cristiano Ronaldo.
                 Gareth Bale akiwa ameruka juu na kuupiga kichwa mpira uliosawazisha goli 

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA