Wednesday 12 October 2016

UJERUMANI YAENDELEZA USHINDI KUWANIA KUFUZU KOMBE LA DUNIA

Julian Draxler na Sami Khedira wamefunga magoli mapema katika kipindi cha kwanza na kuisaidia Ujerumani kuibuka na ushindi wa magoli 2-0 dhidi ya Ireland ya Kaskazini.

Kwa ushindi huo Ujerumani imeendeleza ushindi wake wa tatu katika michezo ya kuwania kufuzu michuano ya kombe la dunia, huku ikiwa haijafungwa goli hata moja.
                                           Julian Draxler akifunga goli la kwanza la Ujerumani 
                  Sami Khedira akiruka juu na kufunga goli la pili kwa mpira wa kichwa

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA