Monday 19 December 2016

MAJALIWA AWAKOSHA WAPINZANI KIKAO CHA MAJUMUISHO ZIARA YA ARUSHA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika kikao cha majumuisho ya ziara yake ya mkoa wa Arusha kwenye ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Arusha, Desemaba 18, 2016. Kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika kikao cha majumuisho ya ziara yake ya mkoa wa Arusha kwenye ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Arusha, Desemaba 18, 2016. Kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo na kulia ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Arusha, Lekule Laiza.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya Wenyeviti wa halmashauri za mkoa wa Arusha wakisikiliza kwa makini hotuba ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ya majumuisho ya ziara yake ya mkoa huo kwenye ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Arusha Desemba 18, 2016.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Wabunge wa Arusha wakifuhia hotuba ya majumuisho ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ya kuhitimisha ziara yake ya mkoa huo kwenye ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha , Desemba 27, 2016. Kutoka kushoto ni Mbunge wa Arumeru Magharibi, Gipson Mesiek, Mbunge wa Viti Maalum Amina Mollel na Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nasari. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya Wenyeviti wa halmashauri za mkoa wa Arusha wakisikiliza kwa makini hotuba ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ya majumuisho ya ziara yake ya mkoa huo kwenye ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Arusha Desemba 18, 2016. 9Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nasari, akionyesha ishara ya kukubaliana na maneno ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipotoa hotuba ya majumuisho ya ziara yake mkoani Arusha kwenye ukumbi wa Mkuu wa Mkoa wa Arusha Desemba 28, 2016. Kushoto ni Mbunge wa Viti Maalum, Amina Mollel.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo (kushoto) wakizungumza na Mbunge wa Monduli, Julius Kalanga (wapili kulia) na Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Monduli, Isaac Joseph (kulia) baada ya Waziri Mkuu kumaliza kikao cha majumuisho ya ziara yake mkoani Arusha kwenye ukumbi wa Mkuu wa mkoa huo, Desemba 18, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Meya wa jiji la Arusha,Mstahiki,Kalisti Lazaro (kulia) baada ya kumaliza mkutano wake wa majumuisho ya ziara ya Arusha kwenye ukumbi wa Mkuu wa mkoa wa Arusha, Desemba 28, 2016. Wapili kushoto ni Mbunge wa Arumeru Magharibi, Gipson Mesiek na wapili kulia ni Mbunge wa Monduli, Julius Kalanga.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Meya wa jiji la Arusha, Mstahiki KalistiLazaro (wapili kulia) na wabunge wa upinzani waliohudhuria katika mkuano wake wa ajumuisho ya ziara ya mkoa wa Arusha kwenye ukumbi wa Mkuu wa Mkoa wa Arusha Desemba 28, 2016. Wengine kutoka kushoto ni Mbunge wa Arumeru Magharibi, Gipson Mesiek, Mbunge wa Monduli, Julius Kalanga na Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nasari. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Meya wa jiji la Arusha, Mstahiki KalistiLazaro (wapili kulia) na wabunge wa upinzani waliohudhuria katika mkuano wake wa ajumuisho ya ziara ya mkoa wa Arusha kwenye ukumbi wa Mkuu wa Mkoa wa Arusha Desemba 28, 2016. Wengine kutoka kushoto ni Mbunge wa Arumeru Magharibi, Gipson Mesiek, Mbunge wa Monduli, Julius Kalanga na Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nasari.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA