Tuesday 14 March 2017

MWENYEKITI WA CCM DKT MAGUFULI AFUNGA SEMINA YA WATENDAJI NA WENYEVITI WA WILAYA NA MIKOA MJINI DODOMA LEO

Displaying cc4.JPG

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia watendaji, Wenyeviti na Makatibu wa CCM wa Wilaya na Mikoa wakati wa kufunga semina yao katika ukumbi w White House mjini Dodoma leo Machi 14, 2017Displaying cc5.JPG

Displaying cc6.JPG

Displaying cc7.JPG

Wajumbe wa Sekretarieti ya CCM wakimsikiliza Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Dkt. John Pombe Magufuli  wakati akifunga kufunga semina ya watendaji, Wenyeviti na Makatibu wa CCM wa Wilaya na Mikoa  katika ukumbi w White House mjini Dodoma leo Machi 14, 2017.

Displaying cc1.jpg

Displaying cc2.jpg
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na watendaji, Wenyeviti na Makatibu wa CCM wa Wilaya na Mikoa baada ya kufunga semina yao katika ukumbi w White House mjini Dodoma leo Machi 14, 2017.

PICHA NA IKULU

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA