MAJALIWA ::WANANCHI WALIOPEWA URAIA MUHESHIMU SHERIA ZA NCHI
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akihotubia mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Veta Jimbo la Ulyankulu wilayani Kaliua Mkoani Tabora jana August 11.2017, ambapo amewataka wananchi waliopewa uraia kuheshimu sheria za nchi vinginevyo watachukuliwa hatua za kisheria. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
0 comments:
Post a Comment