Wednesday 2 August 2023

NAIBU WAZIRI MWAKIBETE AIPONGEZA TCAA KWA KUNGANISHA TEKNOLOJIA YA ANGA NA KILIMO

 


 Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Uchukuzi) Mhe Atupele Mwakibete (Mb) akisaini kitabu cha wageni alipofika katika banda la TCAA



Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Uchukuzi) Mhe Atupele Mwakibete (Mb) akiuliza swali 

Meneja wa TCAA Kituo cha Uwanja wa Ndege wa Songwe Fredy Mbele akitoa ufafanuzi kwa  Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Uchukuzi) Mhe Atupele Mwakibete (Mb) alipofika katika banda la TCAA

Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Uchukuzi) Mhe Atupele Mwakibete (Mb) akiwa katika picha ya pamoja na timu ya maonesho ya TCAA 

Mhe Atupele Mwakibete (Mb) ametembelea banda la Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) kwenye Maonyesho ya Kimataifa ya kilimo maarufu Nanenane yanayofanyika Kitaifa Jijini Mbeya katika Viwanja vya John Mwakangale na kutoa pongezi kwa TCAA kwa usimamizi dhabiti unaopelekea usafiri wa anga kuwa kiungo muhimu kwenye kilimo kwa kusafirisha bidhaa za kilimo kama mazao yanayoharibika haraka pamoja na namna teknolojia ya ndege zisizokuwa na rubani (drones) zinavyoleta mapinduzi katika kilimo.


0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA