Monday 4 December 2023

WAZIRI MKUU AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA WALIOFARIKI DUNIA KATESH

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akitoa heshima za mwisho Disemba 04, 2023 kwa miili ya watu waliofariki dunia katika maafa yaliyosababishwa na mafuriko yaliyotokea katika eneo la Katesh Mkoani Manyara.

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA