TASWIRA HALISI:MABANDA YA WAMACHINGA ENEO LA SOKO LA KARUME YALIVYOUNGUA MOTO
Mabanda ya wamachinga eneo la Soko Karume yameungua na moto.
Moto ulikuwa ni mkali, na kusambaa Fire walifika katika eneo la tukio na kuondoka wanaondoka baada ya kukubali kushindwa, hakuna wanachoweza kuokoa. Nguzo za umeme zinaungua pia
. Kuna umati wa watu mkubwa, baadhi wanalia kwa uchungu wakiwa wamejishika kwa kukata tamaa.
0 comments:
Post a Comment