MATOKEO RASMI: Uchaguzi mkuu umefanyika kwa amani kabisa na yafuatayo ndiyo matokeo rasmi: Makamu Mwenyekiti zanzibar Said Issa Mohamed 645Hamad Mussa Yusuph 163 Makamu Mwenyekiti Bara Professor Abdallah safari Kura za Ndiyo 775Kura za Hapana 34Zilizoharibika 2 Mwenyekiti Taifa Freeman Aikael Mbowe 789Gambaranyera Mong'ateko 20Zilizoharibika 2 Ushindi wa Freeman Mbowe ni asilimia 97.3% Sasa ni Rasmi Freeman Mbowe ndiye Mwenyekiti wa CHADEMA kwa kipindi cha tatu cha mwaka 2014-2019
0 comments:
Post a Comment