Sunday 22 March 2015

FRANK LAMPARD HUENDA AKATIMKA MANCHESTER CITY



Mshambuliaji mkongwe Frank Lampard huenda akamuaa kuondoka Manchester City mwezi huu.

Lampard mwenye umri wa miaka 36 alianza kucheza kipindi cha kwanza dhidi ya West Bromwich Albion siku ya jumamosi, lakini kitendo cha kukosa kupangwa kucheza mara kwa mara kimekuwa kikimkera.

Hata hivyo Manchester City wamevutiwa na mchango wa Lampard dimbani na nje ya dimba akiichezea kwa mkopo na uwepo wake ulionekana muhimu wakati Yaya Toure akiwa kwenye michuano ya mataifa ya Afrika.

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA