Monday 23 March 2015

SUAREZ AIBEBA BARCELONA IKILIPA KISASI, KUICHAPA MADRID 2-1 CAMP NOU,



Timu ya soka ya FC Barcelona usiku wa kuamkia leo wameibuka na ushindi wa mabao 2-1 katika mchezo wa ligi kuu nchini Hispania "La Liga", mchezo ambao ulikuwa na ushindani wa hali ya juu. 

Mchezo huo maarufu kama El Clasico, ulishuhudia Barcelona wakiendelea kujiimarisha kileleni kwa tofauti ya pointi nne zaidi ya Madrid.
MESSI AKIWA CHINI YA ULINZI WA WACHEZAJI WA MADRID.









Mshambuliaji wa FC Barcelona, Luis Suarez akifurahi baada ya kuitungua Real Madrid kwa kufunga bao la pili katika dakika ya 56 huku akipongezwa na wachezaji wenzake. 






0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA