Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba gari ya Kampuni ya Another G inayofanya safari zake Njombe kwenda Iringa imegongana Lori Semi Trailler .
Taarifa zinasema kuwa ajali hiyo imetokea katika eneo la Kinyanambo,njia panda ya Madibila.
Inaelezwa kuwa waliofariki dunia mpaka sasa ni 22 wanaume 15 na wanawake 7 na majeruhi ni 34.
0 comments:
Post a Comment