Monday, 15 June 2015

TAIFA STARS MHMH!!! YAKUBALI KIPIGO CHA GOLI 3 0 TOKA KWA MISRI

OSCAR JOSHUA AKIMUANGALIA MSHAMBULIAJI MOHAMMED SALAH AKIMALIZIA KUFUNGA BAO LA TATU DHIDI YA TAIFA STARS KATIKA MECHI DHIDI YA MISRI ILIYOISHA KWA STARS KULALA KWA MABAO 3-0 IKIWA NI KUWANIA KUCHEZA AFCON. ANGALIA PICHA NYINGINE...





-salehejembe




MATOKEO MENGINE YA KUFUZU AFCON :
Cameroon 1-0 Mauritania
Gabon 0-0 Ivory Coast
Ghana 7-1 Mauritius
Togo 2-1 Liberia

Equatorial G 1-1 Benin



0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA