Sunday 6 September 2015

HISPANIA YAJIWEKA PAZURI KUFUZU EURO


Hispania imeitwanga Slovakia kwa mabao 2-0 katika mechi ya kuwania kucheza Kombe la Euro 2016.


Shukurani kwa beki wa pembeni Jordi Alba na mkongwe Andre Iniesta ambao kila mmoja amecheka na nyavu hiyo jana.


Kw aushindi huo, Hispania imepaa hadi kileleni mwa kundi C na kujiweka katika hatua nzuri ya kufuzu.

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA