Thursday 31 December 2015

BENTEKE AIBEBA LIVERPOOL IKIILAZA SUNDERLAND

Mshambuliaji Christian Benteke akishangilia kwa staili ya aina yake baada ya kuifungia bao pekee la ushindi Liverpool ikiilaza 1-0 Sunderland katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Light.

Benteke amekuwa mkombozi wa Liverpool katika michezo kadhaa sasa ambapo amekuwa akifunga bao pekee linalowapa Liverpool pointi tatu hii ikiwa ni katika mechi dhidi ya Bounermouth, Leicester City pamoja na Sunderland.
 Christian Benteke (centre) is congratulated by team-mates Roberto Firmino (left) and Adam Lallana after scoring at Sunderland
Liverpool sasa wanasogea katika nafasi ya 7  katika msimamo wa ligi kwa kujikusanyia pointi 30 katika michezo 17 huku ikwa nyuma ya magoli kwa Manchester United nafasi ya 6 ikiwa  nyuma ya vinara wa ligi kwa pointi 9.

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA