HAT TRICK YA GIROUD YAIBEBA ARSENAL UEFA
Mshambuliaji wa Arsenal, Olviere Giroud amepiga bao tatu, hat trick na kuiwezeusha Arsenal kuitwanga Olympiacos kwa mabao 3-0.
Ushindi huo umeikahikishia Arsenal ikiwa ugenini kuvuka kwenda hatua ya 16 bora ikitokea kundi F baada ya kufikisha pointi 9 kama Olympiacos lakini iko vizuri kwenye tofauti ya mabao ya kufunga na kufungwa.
Nyingine iliyovuka kutoka katika kundi hilo ni Bayern Munich ya Ujerumani.
0 comments:
Post a Comment