Monday 25 April 2016

CRYSTAL PALACE USO KWA USO NA MANCHESTER UNITED FAINALI YA FA


Timu ya Crystal Palace itakutana na Manchester United katika fainali ya kombe la FA Mei 21 baada ya kupambana vikali na kupata ushindi dhidi ya Watford.

Yannick Bolasie aliipatia goli la kwa la Palace katika dimba la Wembley baada ya Damien Delaney kuugonga mpira wa kona uliopigwa na Yohan Cabaye.

Watford, ambayo ilimkosa kiungo wake Etienne Capoue aliyeumia, ilisawazisha kupitia kwa Troy Deeney, lakini Connor Wickham akaongeza goli la pili kwa Palace.
                                  Connor Wickham akipachika goli la pili la Crystal Palace

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA