Friday 29 April 2016

EUROPA LEGUE::VILLARREAL YAPATA USHINDI DHIDI YA LIVERPOOL


Tomas Pina (kushoto) wa Villarreal akitafuta mbinu za kumpokonya mpira Philippe Coutinho wa Liverpool katika Nusu Fainali ya kwanza ya Europa League usiku huu Uwanja wa El Madrigal, Villarreal nchini Hispania. Villarreal imeshinda 1-0, bao pekee la Adrian Lopez dakika ya 92. Mchezo wa raundi ya pili utachezwa wiki ijayo tarehe 05-05-2016 katika uwanja wa Anifiled


Roberto Soldado wa Sevilla akisikitika baada ya kukosa bao la wazi katika sareya 2-2 na wenyeji Shakhtar Donetsk Uwanja wa L'viv Arena mjini L'viv kwenye Nusu Fainali ya kwanza ya Europa League. 

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA