UEFA::VIDAL SHUJAA BAYERN IKIILAZA BENEFICA 1-0
Bao pekee la Arturo Vidal mapema tu dakika ya pili limeipa ushindi wa 1-0 Bayern Munich dhidi ya Benfica. Bayern sasa wana kazi ya ziada ya kwenda kuulinda ushindi wao katika mchezo wa marudiano ugenini.
Robo Fainali za pili zitachezwa kesho VfL Wolfsburg na Real Madrid Uwanja wa Volkswagen Arena na Paris Saint-Germain na Manchester City Uwanja wa Parc des Princes..
Arturo Vidal akikimbia kushangilia baada ya kuifungia baon pekee Bayern Munich
0 comments:
Post a Comment