EURO 2016::BALE AIBEBA WALES DHIDI YA SLOVAKIA
Goli moja lililokuja kupitia mguu wa kushoto wenye thamani kubwa zaidi kwenye ulimwengu wa soka na lingine kutoka kwa mchezaji ambaye hana timu - Gareth Bale na Hal Robson-Kanuyakatosha kuipa Wales ushindi wa 2-1 dhidi ya Slovakia katika mchezo wa Euro 2016.
Hal Robson-Kanu, ambaye kwa sasa hana klabu yoyote, alitokea benchi na kuifungia Wales bao la ushindi

Supastaa wa Real Madrid Gareth Bale akishangilia bao lake

Bale akifunga kwa free-kick katika mchezo wa kwanza mkubwa wa Wales tangu mwaka 1958

Kipa wa Slovakia Matus Kozacik akiruka bila mafanikio kuzuia mpira wa adhabu uliopigwa na Bale

0 comments:
Post a Comment