LIGI KUU YA UINGEREZA CHELSEA NI MWENDO WA POINT 3 TU
Eden Hazard ambaye ameanza msimu huu akiwa kwenye kiwango kizuri ameifungia Chelsea goli moja katika ushindi wa magoli 3-0 dhidi ya Burnley.
Katika mchezo huo Hazard alikuwa wa kwanza kufunga goli kwa shuti la kuzungusha, kabla ya Willian kuongeza la pili, na kisha Victor Moses kufunga goli la tatu.
Eden Hazard akiachia shuti la kuzungusha lililojaa wavuni
Victor Moses akifunga goli la tatu la Chelsea
0 comments:
Post a Comment