Saturday 1 October 2016

WAZIRI MKUU MAJALIWA ARIPOTI OFISINI DODOMA



Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na viongozi wakuu wa Ofisi yake baada ya kuwasili Ofisini kwake mjini Dodoma Oktoba 1, 2016. Kutoka kushoto ni Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi na Ajira, Erick Shitindi, Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Uledi Mussa, Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera na Uratibu, Dkt. Hamisi Mwinyimvua na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitia saini Kitabu cha wageni baada ya kuripoti Ofisini kwake mjini Dodoma Oktoba 1, 2016. Wengine pichani kutoka kushoto ni Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi na Ajira, Erick Shitindi, Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Uledi Mussa, Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera na Uratibu , Dkt. Hamisi Mwinyimvua na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Uledi Mussa baada ya kuwasili kwenye Ofisi ya Waziri Mkuu Makao Makuu Dodoma kuripoti Oktoba 1, 2016. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama , Wapili kulia ni Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Anthony Mavunde na wapili kulia ni Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera na Uratibu, Dkt. Hamisi Mwinyimvua. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao Ofisini kwake, Makuu Dodoma Oktoba 1, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Makao Makuu, Dodoma baada ya kuwasili Ofisini hapo Oktoba 1, 2016. Wengine pichani kutoka kushoto ni, Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi na Ajira, Eick Shitindi, Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera na Uratibu, Dkt. Hamisi Mwinyimvua, Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Uledi Mussa , Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama na Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Antony Mavunde. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Makao Makuu, Dodoma baada ya kuwasili Ofisini hapo Oktoba 1, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA