TUZO ZA MTV: DAVIDO MWANAMUZIKI BORA WA KIUME
07:25 |
No Comments |
Katika kipengele Mwanamuziki Bora wa Kiume nominees walikuwa ni Anselmo Ralph ( wa Angola), Davido (Nigeria), Donald (Afrika Kusini) , Wizkid (Nigeria) na Diamond Platnumz (Tanzania) ambapo mshindi alikuwa ni Davido kutoka Nigeria.
Diamond alikuwa anawania tuzo mbili lakini hajafanikiwa kushinda kati ya hizo.
Tuzo ya Best Collabo ilitangazwa awali na imechukuliwa na Uhuru ft DJ Bucks,Oskido,Professor,Yuri Da Cunha na wimbo wa Y-tjukutja.
Lakini sio mbaya watanzania wamefanya kazi kubwa kupiga kura na kutoa sapoti kwenye mitandao ya kijamii.
na matukio na vijana
Related Posts:
ARSENAL YAENDELEA KUITAFUNA HULL CITY Mchezaji Alexis Sanchez amefunga mara mbili wakati Arsenal wakipanda katika nafasi nne za juu za msimamo wa Lifgi Kuu ya Uingereza baada ya … Read More
MANCHESTER CITY YAITANDIKA BOURNEMOUTH 4:0 NA KUENDELEA KUJIKITA KILELENI Manchester City imeendeleza ushindi wa nane katika michuano yote kwa msimu huu, baada ya hii leo kupata ushindi laini wa magoli 4-0 dhidi ya… Read More
LIVERPOOL YAWADUWAZA MASHABIKI WA CHELSEA KWA KIPIGO CHA 2:1 KATIKA UWANJA WA STAMFORD BRIDGE Beki Dejan Lovren akiiandikia Liverpool bao la kwanza Utamu wa Ligi Kuu ya England ‘Premier League’ umeendelea kuwa mtamu, hiyo ni baada ya k… Read More
MSN NI WAGAWA DOZI TU:: BARCELONA YASHINDA 5:1 DHIDI YA LEGANES MESSI, SUAREZ NA NEYMAR WAISAMBARATISHA LEGANES KATIKA LA LIGA Utatu mtakatifu katika soka unaoundwa na Lionel Messi, Luis Suarez na Neymar u… Read More
LEICESTER YAIFUMUA BURNLEY 3:0, MGENI ISLAM ATUPIA 2 Mchezaji mpya wa Leicester City aliyesajiliwa kwa rekodi Islam Slimani amecheza mchezo wake wa kwanza wa Ligi Kuu na kuifungia timu yake magoli maw… Read More
0 comments:
Post a Comment