Sunday 17 May 2015

PARIS ST GERMAIN YATWAA TAJI LA LIGI KUU YA UFARANSA


Timu ya Paris St Germain imekuwa mabingwa wa Ligi Kuu ya Ufaransa kwa mara ya tatu mfululizo, huku ikiwa na mchezo mmoja mkononi baada ya jana kuifunga Montpellier kwa mabao 2-1.

Timu hiyo inayomilikiwa na Qatari ilikuwa inahitaji pointi moja tu ili kutangazwa msshindi lakini ikapata pointi tatu na kuongoza ligi kwa tofauti ya pointi nane, dhidi ya Lyon iliyotoa sare ya 1-1 dhidi ya Girondins Bordeaux.
                        Wachezaji wa Paris St Germain wakishangilia ushindi kwa kucheza
              Kocha wa Paris St Germain Laurent Blanc akifurahia ushindi na Matuidi

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA