Thursday 31 December 2015

SUAREZ NA RONALDO WATUPIA MBILI BARCELONA NA REAL ZIKIFUNGA MWAKA KWA USHINDI

Mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo akisikitika baada ya kukosa penalti katika mchezo wa La Liga dhidi ya Real Sociedad usiku wa leo. Hata Ronaldo alifunga mabao mawili baadaye moja kwa penalti, Real ikishinda 3-1 Uwanja wa Bernabeu, bao lingine akifunga Lucas Vazquez wakati la Sociedad limefungwa na Lucas Vazquez.

 
Nyota wa Barcelona, Lionel Messi akipongezwa na wachezaji wenzake usiku huu baada ya kufunga akiichezea mechi ya 500 timu hiyo katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Real Betis kwenye mchezo wa La Liga Uwanja wa Nou Camp. Mabao mengine ya Barca yamefungwa na Luis Suarez mawili na Heiko Westermann aliyeuwahi mpira uliogonga mwamba na kurudi uwanjani baada ya mkwaju wa penalti wa Neymar, ambaye pia alifunga.

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA