MESSI APIGA MBILI BARCELONA IKIIADHIBU EIBAR 4-0
Nyota
wa Barcelona, Lionell Messi (kulia) akifumua shuti kuifungia bao la
pili timu yake katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Eibar kwenye mchezo wa La
Liga leo Uwanja wa Manispaa ya Ipurua mjini Eibar.
Messi amefunga mabao mawili, wakati mabao mengine yamefungwa na Munir El Haddadi na Luis Suarez.
Liones Messi akiwa amekusanya kijiji |
Messi amefunga mabao mawili, wakati mabao mengine yamefungwa na Munir El Haddadi na Luis Suarez.
Suarez akimpongeza Munir baada ya kupachika goli la kwanza |
0 comments:
Post a Comment