WAMEPIGWA!!! MANCHESTER UNITED YATULIZWA NA WEST BROM, 1-0
Nyota
wa West Bromwich Albion, Salomon Rondon akifumua shuti huku beki wa
Manchester United, Chris Smalling akijaribu kuzuia katika mchezo wa Ligi
Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa The Hawthorns. WBA
imeshinda 1-0, bao pekee la Rondon dakika ya 66 katika mchezo ambao
United ilimaliza pungufu baada ya Juan Mata kutolewa kwa kadi nyekundu
dakika ya 2.
West Bromich Albion wamepata ushindi huu muhimu na kudhoofisha ndoto za Manchester United kutinga katika hatua ya nne bora .
Mwamuzi akimuonesha Juan Mata kadi nyekundu |
West Bromich Albion wamepata ushindi huu muhimu na kudhoofisha ndoto za Manchester United kutinga katika hatua ya nne bora .
0 comments:
Post a Comment