Sunday 17 April 2016

LIVERPOOL MWENDO MDUNDO YASHINDA 2-1 UGENINI

Katika mchezo mwingine wa Ligi Kuu ya Uingereza hii leo magoli yaliyofungwa Roberto Firmino na Daniel Sturridge yaliiwezesha Liverpool kutoka na ushindi ugenini wa mabao 2-1 dhidi ya Bournemouth.


Katika mchezo huo ambao Kocha wa Liverpool alifanya mabadiliko kumi kutoka kikosi kilichoanza Alhamisi iliyopita dhidi ya Borusia Dortmund na kuwaweka makinda zaidi bado iliwalazimu wenyeji Bournemouth kuongojea hadi dakika za mwisho ili kupata goli la kufutia machozi lililowekwa kimiani na Joshua King lililofungwa baada ya dakika ya 90.

       Kipa wa Bournemouth akiruka bila ya mafanikio kuuzuia mpira uliotinga wavuni

0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA