EDINSON CAVANI WA PSG AKANUSHA UVUMI KUHUSU REAL MADRID, MANCHESTER UNITED
MSHAMBULIAJI
mahiri wa PSG ya Ufaransa, Edinson Cavani, amesema kuwa ataendelea kuitumikia timu
hiyo na hana mpango wa kwenda Manchester United wala Real Madrid.
Wakala wa
mchezaji huyo, Claudio Anellucci alisema jana kuwa staa huyo wa Uruguay
ameridhia kubaki hapo akiamini atapata mafanikio zaidi.
0 comments:
Post a Comment