MMILIKI WA MANCHESTER UNITED MALCOLM GLAZER AFARIKI DUNIA
Familia ya Glazer ilinunua Manchester United kwa paundi milioni 790 mwaka 2005 licha ya mashabiki kupinga hatua hiyo.
Baada ya hapo United walishinda kombe la EPL mara tano - 2005, 2008, 2009, 2011 na 2013, na pia Champions League mwaka 2008.
Glazer ambaye ni Mmarekani pia alinunua klabu ya NFL ya Tampa Bay Buccaneers mwaka 1995.
0 comments:
Post a Comment