Monday 18 April 2016

RATIBA YA MKUTANO WA BUNGE LA BAJETI 2016/17 LINALOANZA LEO TAREHE 18 HADI MWEZI WA 7 TAREHE 1

Mkutano wa Tatu (3) wa Bunge la Kumi na Moja (11) unatarajia kuanza mjini Dodoma kesho tarehe 19 Aprili 2016. Mkutano huu ni mahususi kwa ajili ya kujadili na kupitisha Bajeti ya Serikali.

Wabunge wote wametakiwa kuwasili mjini Dodoma siku ya Jumapili tarehe 17 Aprili 2016


0 comments:

Post a Comment

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA