LIVERPOOL YALIPA KISASI KWA KUITANDIKA MAN CITY TATU BILA
Mshambuliaji
wa Liverpool, Roberto Firmino akimrukia migongoni mshambuliaji wa
Liverpoool, Divock Origi wakati wakimpongeza James Milner baada ya
kufunga
TIMU ya Liverpool imeichapa mabao 3-0 Manchester City katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku huu Uwanja wa Anfiled.
Ushindi huo ni sawa na kisasi cha kufungwa kwa penalti 3-1 katika fainali ya Kombe la Ligi, maarufu kama Capital One Cup Februari 28, Uwanja wa Wembley baada ya sare ya 1-1.
Katika mchezo wa leo, mabao ya Liverpool yamefungwa na Adam Lallana dakika ya 34, James Milner dakika ya 41 na Roberto Firmino dakika ya 57.
TIMU ya Liverpool imeichapa mabao 3-0 Manchester City katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku huu Uwanja wa Anfiled.
0 comments:
Post a Comment